All the African Music. Hottest SHOWS… Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.

Follow us on twitter and on instagram

Comment List

 • Kuluthum mbega Kulu 28 / 05 / 2018 Reply

  huyo nishekhe ila kaweka maslahi mbele yani anapigania alipwe kwani wanaotoa mawaidha msikitini nao wanatoa ili walipwe amakweli imani imetoweka sina ham na huyo shekhe kajivisha ngozi ya kondoo kumbe mbwa mwitu

 • Bongo vlogs TV 28 / 05 / 2018 Reply

  ''kimsingi hakuna kitu cha bure duniani hata hiyo msahafu na biblia inauzwa je mimi ni ai nisifanye biashara'' daaa point kubwa sana ostadhi asante

 • Hafidh Drogba 28 / 05 / 2018 Reply

  Salam alaykum.mbonde we nishekh sisi tunajifunza kwako.lkn mbona fidia kubwasna.kumbuka RIBA KHARAMU.usiadaike nadunia.

 • k 28 / 05 / 2018 Reply

  Majaa hawana nia. Wanataka ligi.

 • JERRy MWASa 28 / 05 / 2018 Reply

  dah hela znatafutwa hakuna utu tena tuwen makni kwakwel ,#umzaniae xie kumbe ndie

 • Askof Wa dar 28 / 05 / 2018 Reply

  awa mashekh gan awa bola uyavue ayo mavazi uonekane muhuni tukujue

 • JERRy MWASa 28 / 05 / 2018 Reply

  pesa ni ktu kingine kwakwel da

 • Askof Wa dar 28 / 05 / 2018 Reply

  Upewi hela wewe acha njaa zako wewe

 • JERRy MWASa 28 / 05 / 2018 Reply

  milion mia mbili???????????? aaaaaaaaa da ,,,,,,,,,kazi ipo ,kazi za mungu nazo😂

 • Ally Manda 28 / 05 / 2018 Reply

  Shekhe una njaaa…!!!

 • Amani Suleiman 28 / 05 / 2018 Reply

  Mzee ana hakki hapo kwa sababu wamezungumza kibiashasha tale mpe chake

 • Kijana Mtanzania 28 / 05 / 2018 Reply

  Jamaa ujitahidi kujiweka poa kinoma

 • احمدmiziwa tuu basi مختار 28 / 05 / 2018 Reply

  mbona pesa ni nyingi sana kuliko izo kazi zako duuu wewe mbonde una njaaa sio siri

 • bradock shomary shodri 28 / 05 / 2018 Reply

  Mzee unalipisha mawaiza duh

 • Salim H. Mshaam 28 / 05 / 2018 Reply

  jaman mashehe nyinyi Wa kidunia mpo kidunia zaid jaman Allah hachezew mashee wangu

 • Salim H. Mshaam 28 / 05 / 2018 Reply

  unajitia aibu shee mbonde

 • Ummu Nurdin 28 / 05 / 2018 Reply

  ALHAMDULILAH TUNAPATA DARSA BURE KIKUBWA MB ZAKO TU KAZ YA Allah iyo ulipwe duniani akhera usilipwe kitu not fair mbonde itakillah

 • Ummu Nurdin 28 / 05 / 2018 Reply

  Kuna mashehk wanatoa darsa na wauzao mwengine mashehk awalipwi kitu he hao pia wawashtak

 • Robert noel 28 / 05 / 2018 Reply

  alipe uyo tale jasho LA MTU lieshimiwe mnao mtetea wale wale tu

 • mwanahamisi abdallah 28 / 05 / 2018 Reply

  Subhanallah….

 • mukeya Sk 28 / 05 / 2018 Reply

  Ukorofi unafaida

 • Haji Iddy 28 / 05 / 2018 Reply

  Kwani shehe ndio amehukumu au mahaka nsio imehukumu chini mamlaka ya jaji sasa ukilaumu pesa nyingikweni yeye ndio aliyetaja alipwe pesa hizo kwanini hawo wamzulumu kwan shehe ndio anahaki ya kuzulumiwa hakuna neno la mungu la bure yeye atavaa nini?atakula nini?

 • Kaaput Kubwa 29 / 05 / 2018 Reply

  Mashekhe Tanzania hawa wanao rekodi manyimbo ya kawaida lazima muwache kufanya kazi za dini na wao bora kupata mrekodi alie na imani thaabit ya dini, jina halisaidii chochote wana rekodi nyimbo chafu chafu hazina maadili katika dini kisha nyinyi muwatumie wao kurekodi mawaidha ya dini. BADILISHENI KABISA !!!

 • Rashid Kassim 29 / 05 / 2018 Reply

  Sasa umeingia mkataba na tale kaka yake

 • Ummy Ameir 29 / 05 / 2018 Reply

  Dai haki yako mpk pumzi ya mwisho lakini hapo hapo Allah mwenyewe akasema mbora wao ni yule mwenye kusameh deni ukizingatia kazi uliyoifanya ni kazi ya Allah hakuna haja ya kulalamika mpk kwenye vyombo vya habar sheikh usiejitambua unaendekeza dunia tu na kuunda bifu za kijinga kisa pesa ambayo unaeza ukapewa sasaiv apo apo unazishika unakufa huku ushaacha hasama na uislam unakataza hasama na muislam mwenzio MANENO YA ALLAH NI SADAQA

 • Shaaban Ramadhan 29 / 05 / 2018 Reply

  Lazma tuelewe kwamba hyo shkh maskin ya mungu ana toa mawaidha kwa ajili yakifikisha ujumbe wa mwenyezi mungu napia kwa ajili yakujipatia rizki km alivyo sema kwamba hakun kitu cha bure dunian nikweli kabisa kwa sabab leo asipo pata haki yake hizo pesa mnafikir familia yake itakula nini so lazm tufiki rie haiwezekan mawaidha atoe yeye af watu wengine ndo wale hiyo kuakili haiingii maslahi kwanza

 • Janeck Nziku 29 / 05 / 2018 Reply

  ahaa kumbe umelipia wafungwe sasa watakulipaje sasa wakiwa wamefungwa

 • Mwasiti Hatibu 29 / 05 / 2018 Reply

  watu sio waelewa hawa walikubaliana biashara razima adai kama sadaqa anatoa mawaidha mengi lkn hii IPO kwenye makubaliano vipi wafanye zurma huyo tale na uongozi wake ni zurma nyie mseme sadaka uko madrasa tunalipia ada msio jielewa nyie kutetea ujinga tu tena wao sio wastarabu siwangemfuata wakamwambia tupunguzie yakaisha lkn ndio kwanza wanatoa jeuri au wangekata rufaa pumbavu zao fyuuuu

 • Ally Msuya 29 / 05 / 2018 Reply

  duuuh kumbe hata na mm naweza kulipa pesa nikapewa risiti halafu nikamtafuta mshtakiwa wangu

 • onlymeruky 30 / 05 / 2018 Reply

  Shekhe yupo sahihi kabisa

 • Seif Mohamed Seif 30 / 05 / 2018 Reply

  awali maneno ya Mungu hayakuuzwa wala hayakua biashara ila nyie mnafanyia biashara nyosha maelezo sheikh hapo ulipo kufikiria pesa na maneno ya Mungu sio biashara

 • abu masoud 30 / 05 / 2018 Reply

  shehe mbonde nenda kaongeee madalali wa yono.wakapige mnada wa mali za babu tale.upate mrejesho wa pesa zako.

 • asma binti kiwasha 31 / 05 / 2018 Reply

  Allah hasinzii na halali atakusimamia utapata khaki yako shekhe

 • rashid suleiman 31 / 05 / 2018 Reply

  shehe pigania haki yako uyo tale na mwengine mwenye tabia km hiyo atapata funzo kaza kamba baba.

 • Annko side 31 / 05 / 2018 Reply

  Kama kweli unalosema ni lakweli basi acha sheria ifanye kazi yani hakuna msamaha, alipe au aende jela coz hata ukimsamehe bado atakudharau so acha sheria ifanye kazi imnyooshe mpaka anyooke

 • Saidi Bakari 01 / 06 / 2018 Reply

  Eeeh ndio ivo sheikh,nakubali sanaa,hakuna vya buree hapa duniani…

 • mohamed selungwi 01 / 06 / 2018 Reply

  Shehe maslahi ya kidunia umeyaweka mbele

 • john silver man 08 / 06 / 2018 Reply

  250 mil what a joke 😡😡😡😡 greedy twat

Leave a Reply